Jinsi ya ku-root simu za Android Habari wapendwa nipo pamoja nanyi mpaka kieleweke leo tuzungumzie japo kwa uchache maelezo ya kufanya Root kwenye simu zetu za android kabla ya kuanza kuroot simu yako kutabatilisha warranty na muuzaji wako aliyekuuzia , pi root at your own risk i will not be hold responsible for any negative outcomes ANDROID ROOTING NI NINI? Ni mchakato wa kuruhusu watumiaji wa smartphones, Tablet na vifaa vingine vinavyotumia Oparetion sysetm ya android kupata uwezo kukiendesha kifaa au simu ya android katika kiwango cha hali ya juu Rooting mara nyingi hutumika kwa lengo la kuondo overcome limitations ambazo zimewekwa na watengenezaji wa vifaa vya android FAIDA ZA KU-ROOT Rooting ina faida nyingi kama vile kubadiri ROOM, Kuinstall system installed app ku install apps ambazo zinahitaji root access kama vile TITANIUM BACK UP JINSI YA KUROOT Ku root android devices kunatofautiana kati ya simu na simu , hapa nitakupatia njia za ku root baadhi ya simu na baadhi ya vision za android 1) Huawei Idoes U8150 wengi wetu tuna miliki simu aina hii HUAWEI IDOES U8150 simu ya aina hii ni rahisi sana fuata utaratibu huu download app inayoitwa z4root download z4root hapa http://search.4shared.com/q/1/z4root.apk kisha install z4root fungua z4root kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa PERMANENT ROOT Kisha zima simu yako kisha iwashe utakuta app inayoitwa SuperUser imeongezeka mpaka hapo utakuwa umesha root simu yako ya HUAWEI IDOES U8150 Natumai tutakuwa tumepata mwanga japo kwa uchache kuhusu Rooting kwenye simu zetu za android kama unaswali au maoni niachie hapo kwenye sanduku la maoni Jinsi ya ku-root simu za Android Habari wapendwa nipo pamoja nanyi mpaka kieleweke leo tuzungumzie japo kwa uchache maelezo ya kufanya Root kwenye simu zetu za android ... Read more »