JINSI YA KUPATA/KUTUMIA UNLIMITED INTERNRT YA TIGO BURE | HUDI TRICKS

Leo nimekuja kukujuza jinsi ya kupata internet ya bure ukiwa na mtandao wa tigo hii ni kwa watumiaji wa computer na laptop kwa simu haiwezekani wakuu fanya haya na uendelee kubrowser bila kuhofia kuishiwa na mb

Anza kwa kupakua/download app ya  Dropbox hapa Dropbox.com sign up na uwe umesign in ili uwe hewani

kisha fungua mozilla
clik Options kisha clik setting then clik network katika setting ya network utakuta Manual Proxy Hapo utaweka code hii contact me Ibrahimuriyad@gmail.com port call me for port no. Then weka alama ya tiki/pata/nike Kwenye Proxy server For All protocols 

baada ya hapo fungua ile app tulioidownload mwanzo DROPBOX kisha clik sehemu iliyoandikwa listen then fungua mozilla yako endelea kubrowser free bila kuhofia kuishiwa Mb 

hii ni inatumika kwa browser ya Firefox mozilla na modem ya tigo tu 





Ahsante kwa kutembelea Hudi Triks Sambaza Blog hii kadri uwezavyo ili na wengine wajueniandikie ni trick gani unayo itaka nitakuletea karibu tena

A Place Where You Get All kinds Of Tips And Tricks.

Nipe maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Khalid Riyad
huditricks.blogspot.com

Post a Comment

 
Top