leo nimekuja na somo kuhusu adsense na jisi inavyofanya kazi najua neno adsense sio geni katika masikio yetu .Baada ya watu wengi kulalamika kuhusu RPM (Page Revenue Per Thousands Impesions) kuwa chini Nilipata suluhisho na Mpaka sasa RPM kwangu Haisumbui kbs nilijiunga na magroup ya Nje hivyo nashare link za Habari zangu huku na RPM iko Juu kwa wale wasiojua nitalezea RPM inafanyaje kazi
Mfano ukiwa na RPM 8.60 ukawa na Pageviews kwenye Blog kama 6K utakuwa na Dola ngap kwanza unachukua RPM unazidisha kwa Viewers ulionao alafu unagawanya kwa 1000 unatapa dola zako mfno (8.6x6000)/1000 = 51.6 USD nilimuuzia jamaa yangu mmoja Nigeria amenitumia Result za RPM yake kama ifuatavyo
Facebook Blogger Plugin by Khalid Riyad
Post a Comment