Habari msomaji wa ukurasa huu wa tricks kila siku na ahsante kwa kuendelea kuwa nasi mpaka leo hii
wacha nikujuze kuhusu kujisajili na matangazo ya adsense ili uweze kupiga pesa kupitia blog yako fuata hatua hizi
- Nenda kwenye blog yako bofya kipengele cha earnings
- bofya sign up
- log in kwenye akaunti yako
- jaza fomu ya adsense
- clik neno continue
mpaka hapo utakuwa tayari umeshajisajili na matangazo ya google adsense
Facebook Blogger Plugin by Khalid Riyad
Vigezo je niweje
ReplyDeleteYatakiwa blog yako iwe inacontect kwa lugha ya kiingereza kwasababu google hawasapoti lugha ya kiswahili
Deletevya kuzingatia je ni vipi
ReplyDeleteSamahani kwa kuchelewa kukujibu Kwa Utaratibu wa Sasa ni Ngumu kufanikiwa kuipata Akaunti Mpya ya Adsense ikiwa hauna Content nyingi katika Blog yako na Content hizo zikiwa zina Lugha Ambayo inayokubalika na Google ambao ndio wamiliki wa Adsense. Kwa Ufupi tu jitahidi Blog yako iwe ina Post Angalau 30 za Kiingereza ili wasikukatalia kwa kigezo cha Unsufficient Content au Kigezo cha Unsupported Language.
DeleteKingine cha Kuzingatia ni Umri/Muda gani Blog yako ilikuwa Hewani. Kwa sasa ni ngumu kwa Blog Mpya inayofunguliwa Leo Kupata Akaunti ya Adsense na Matangazo Kuonekana, Hii inamaanisha kwa sasa Adsense Wanahitaji Publishers wake wawe wavumilivu kidogo kabla ya Kukubaliwa na Kupewa Hizo Akaunti za Adsense.
*HILI Lisikukatishe Tamaa, Unaweza Ukasubiri Angalau Miezi Mitatu Huku Ukiandika Post za Kutosha kwenye Blog yako na Hatimaye By the Time unaomba Usajili wa Adsense Google Wakakupa Bila Shida Yoyoye.
Na Unapofanikiwa Kuipata Akaunti yako ya Adsense hakikisha haukinzani na Vigezo na Masharti yao..Kwa Lugha ya Kiiingereza Visome Hapa
https://support.google.com/adsense/answer/48182?hl=en
Kwa habari za teknolojia zinazohusu simu , programu, kompyuta, blogging
ReplyDeletetelevisheni pamoja na mambo mengine ...Tembelea hapa BONGO TECHNO